2 Corinthians 4:3-4

3 aHata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea. 4 bKwa habari yao, mungu wa dunia hii amepofusha akili za wasioamini, ili wasione nuru ya Injili ya utukufu wa Al-Masihi, aliye sura ya Mungu.
Copyright information for SwhKC